Top Ad unit 728 × 90

LIL WYNE ASHITAKIWA NA MAPRODUCER!

Rapper Lil Wayne wa YMCMB anashtakiwa na maproducer wawili kwa kushindwa kuwalipa. Katika mashtaka mawili tofauti yaliyowasilishwa mapema wiki hii watayarishaji wa hip-hop Andrews  Correa na Marcos  Rodriguez wanamtuhumu Lil Wayne kuwa ameshindwa kuwalipa ujira wao baada ya kutumia beat zao

Correa anadai kuwa alisainishwa na Young Money mwaka 2008 kutengeneza muziki ambao ulitumia kwenye albam za Weezy, Re-Birth, Tha Carter III na I m Not a Human Being, pamoja na albam ya Birdman, Priceless, Kwa upande wake Rodriguez, alisainishwa mwaka mmoja kabla ya Correa ana anasemaa alitengeneza beat ambazo zilitumia kwenye albam hizo.
LIL WYNE ASHITAKIWA NA MAPRODUCER! Reviewed by Unknown on Monday, August 27, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.