Top Ad unit 728 × 90

JOAN RIVERS WA POLICE FASHION AMPONDA RIHANNA KUENDELEA KUPENDA CHRIS BROWN


Baada ya Rihanna kufunguka kwa Oprah kuhusu penzi lisilokufa kwa Chris Brown – mpenzi wake aliyemdhalilisha kwa kumpiga na kumuumiza vibaya mwaka 2009, ufunuo huo uliwaacha mashabiki wake wengi na mshangao.

Miongoni mwao ni mchekeshaji Joan Rivers, maarufu kwenye kipindi cha Fashion Police cha E! ambaye aliamua kumshambulia Rihanna kwenye Twitter.

JOAN RIVERS WA POLICE FASHION AMPONDA RIHANNA KUENDELEA KUPENDA CHRIS BROWN Reviewed by Unknown on Monday, August 27, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.