Top Ad unit 728 × 90

DIAMOND KUMPA KOLABO J MARTINS KUTOKA NIGERIA

Diamond ameamua kutanua mabawa yake zaidi mwaka huu kwa kumshirikisha msmanii wa kimataifa kutoka nchini Nigeria J Martins. Inshu hiyo inaeleza kwamba ameshakamilisha baadhi ya mistari itakayopatikana kwenye wimbo huo kutoka katika studio za MJ Records chini ya Prod. Marco Chali.

Vile vile wimbo huo ameufanya kwa kushirikiana na dancer wake Mose Iyobo katika kuonesha kwamba yupo bega kwa bega na madancer wake na vile vile Diamond anadai kwamba Mose ameonesha uwezo mkubwa sana katika wimbo huo.

J Martin yupo nchini Marekani kwa kozi ya masuala ya utayarishaji na tayari anausubiri wimbo huo ili aweze  kuingiza sauti yake.

Diamond yupo safarini nchini Marekani katika Jiji la Washington DC kwa ajili ya show ya mwaliko maalum na katika safari hiyo anaandamana na Madance wake wote wanne.

Big Up Sana kijana endelea kukaza.
DIAMOND KUMPA KOLABO J MARTINS KUTOKA NIGERIA Reviewed by Unknown on Wednesday, August 22, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.