Top Ad unit 728 × 90

DJ FETTY AINGIA KWENYE LIST YA MA-DJ 10 BORA AFRIKA

Dj pekee wa kike kutoka Tanzania Fatma Hassan ameingizwa kwenye list ya ma-DJ bora kumi wa Afrika.

DJ Fetty Ambaye alianza kazi za U-Dj mwaka 2006 akiwa kama muajiriwa wa Clouds FM ya Dar es Salaam katika kipindi cha Dr Beat ambacho kwa sasa kinaitwa XXL ni msichana ambaye amejikuta akipata mafanikio katika kazi yake hiyo ya u-DJ kutokana na kwamba amekuwa serious na game hilo kwa kipindi kirefu na pia juhudi binafsi zimeweza kumweka hapa alipo hadi mdaa huu.



DJ Fetty amekamata nafasi ya 9 wakati nafasi ya kwanza ikichukuliwa na DJ kutoka Afrika ya Kusini.

List hiyo ni hii hapa chini:-
1. DJ Waxxy - South Africa
2. Black Cofee - South Africa
3. DJ Caise - Nigeria
4. DJ Jimmy Jatts - Nigeria
5. DJ Black - Ghana
6. DJ Robbie Rob - Gaborone
7. DJ Malick - Malawi
8. DJ Kaytrixx - Kenya
9. DJ Fetty - Tanzania
10. na wa Mwisho alikuwa ni DJ Creme De La Creme
DJ FETTY AINGIA KWENYE LIST YA MA-DJ 10 BORA AFRIKA Reviewed by Unknown on Friday, August 24, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.