Top Ad unit 728 × 90

PIPI APIGA STOP KUTOA NYIMBO HADI AJIFUNGUE KWANZA

Pipi a.k.a Papito au Mama Kijacho

 MSANII ambaye siku zinazokuja ataanza kuitwa mama, Pipi au unaweza kumuita Pipito, amesema kuwa ngoma yake ya ‘Unapokuwa Mbali’ bado inafanya vizuri hivyo sasa atasisima kutoa ngoma hadi pale atakapojifungua.

Pipi
alizungumza na mtandao huu na kusema kuwa kwa sasa yupo kwenye hali ambayo hawezi kufanya kitu chochote hivyo anaamini baada ya kujifungua atafanya mengi makubwa.

Alisema kuwa anaamini kila mtanzania anahamu ya kazi yake mpya lakini kwa sasa watamsamehe kwani, hata wao wanatakiwa kumuombea ili aweze kukimaliza vyema kipindi cha ujauzito.

“Nina ngoma nyingi ambazo naweza kuzitoa lakini kwa sasa siwezi kufanya chochote kwani ninakalibia kujifungua hivyo nawaomba watanzania wajue kwamba nitakuwa kimya kwa sababu ya hiyo,”
aliongeza
PIPI APIGA STOP KUTOA NYIMBO HADI AJIFUNGUE KWANZA Reviewed by Unknown on Friday, August 24, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.