Top Ad unit 728 × 90

K-LYNN ATARAJIA KUPATA MTOTO HIVI KARIBUNI


Mwanadada ambaye kiukweli amepotea katika game kwa muda kidogo hatimaye inafahamika kwamba ni Mjamzito na anatarajia kupata mtoto ambaye ndo atakuwa first born wake.

Chanzo cha habari hii hakijaweka wazi zaidi kwamba Mimba hiyo au Baba wa mtoto huyo ni nani na kama wanaishi wote ama la!...

Tunamtakia maandalizi mema ya kuwa Mama for the first time!
K-LYNN ATARAJIA KUPATA MTOTO HIVI KARIBUNI Reviewed by Unknown on Friday, August 24, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.