Top Ad unit 728 × 90

G-NAKO AZUNGUMZIA VIDEO YAKE MPYA

Hii video ni kolabo ya watu watatu ikiwa ni Mimi (G-Nako), AY na Jamaa kutoka nchini marekani hii inshu imetokea kwa mshikaji wangu mmoja anaitwa Dash anasoma na the artist Carlifonia, the artist alisikia kazi zangu kutoka kwa Dash akazipenda kisha akatengeneza Beat yeye pamoja na Dash then wakaweka Choras na wakanielekeza wanavotaka na mimi nikaingiza verse lakini nikaona kama bado haitoshi kwanini nisimuweke AY mtu ambaye anafanya vizuri ktk game ki-international na kinyumbani pia na ni mwanangu nikaona itakuwa poa sana nikikaa nae katika hii track..nilimpigia simu AY na nikampa mchongo akanielewa na akaja tukafanya vocal na kitu ndo kikatoka kama hivi kilivo........... ni hayo tu toka kwa G-NAKO....
G-NAKO AZUNGUMZIA VIDEO YAKE MPYA Reviewed by Unknown on Thursday, August 16, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.