Top Ad unit 728 × 90

Jokate na Harambee kwa wasichana



Baada ya yeye kupata elimu nzuri mpaka kufikia hapo alipofika, mwanadada mkali toka kwenye fani ya urembo nchini, Jokate Mwegelo, ambaye kwasasa hivi ni balozi wa harambee ya kuchangia matofali ya kuwezesha kujenga mabweni kwa ajili ya watoto wa ike wanaosema katika shule za kata hapa nchini.
Harambee hiyo inaratibiwa na Tanzania Education Authority (TEA) ikiwa na lengo la kujenga mabweni yasiyopungua thelathini.
Msikie mwenyewe balozi Jokate akiongelea harambee hiyo.

huyu hapa Jokate akizungumzia inshu hiyo kidogo pamoja na historia yake "Primary nimesoma Olympio iliyoko Upanga na Sekondarii nimesoma Mt. Antoni (O-Level) na A - Level nimesona Loyola Highi School pale Mabibo na Chuo kikuu pale Mlimani University nilikuwa nikichukua 'Political Science' kwa sasa hivi ni balozi wa kuchangia harambee hii ya tofali ambazo zitaenda kutumika katika ujenzi wa mabweni kwa ajili ya watoto wa kike wanaosoma katika shule za kata hapa nchini na ni harambee inayoratibiwa na "TEA' (Tanzania Education Authority) na lengo likiwa ni kujenga mabweni yanafikia 30 kwa shule ka 8 za kata hapa Tanzania"

Jokate amesema kilichomvutia yeye hadi kuwa ktk harambee hiyo ni kutaka kuona wasichana wanakuwa katka mazingira mazuri kielimu ikizingatiwa kwamba katika jamii yetu bado mtoto wa kike anaonekana akipata elimu ktk mazingira  magumu sana.
Jokate na Harambee kwa wasichana Reviewed by Unknown on Thursday, August 16, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.