Top Ad unit 728 × 90

HALI YA BI KIDUDE SI NZURI KIAFYA


Hali ya msanii mkongwe nchini Bi Kidude inasemekana si nzuri sana kutokana na kulazwa hospitalini huko Zanzibar akisumbuliwa na maradhi ambayo hayajafahamika kwa haraka lakini watanzania mnaombwa Dua zenu pamoja na michango yenu ili kuirejesha afya ya Bibi yetu vyema arudi kuendelea na shughuli zake za kila siku.
HALI YA BI KIDUDE SI NZURI KIAFYA Reviewed by Unknown on Wednesday, August 22, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.