Top Ad unit 728 × 90

JUA KALI AVUTA NDIGA MPYA

Siku chache baada ya kumaliza kugonga kichupa cha wimbo wake mpya, nyota wa hip hop pande za Kenya, Jua Kalli amevuta ndinga mpya ya kisasa aina ya Chrysler Crossfire yenye thamani ya Shilingi za kibongo milioni 70.

Akizungumza hayo kutoka Nairobi Jua kali amefunguka kuwa siku zote amekuwa akivutiwa na kumiliki ndiga sports hasa zinazotengenezwa Ujerumani n akilichotokea sasa ni kama kutimiza ndoto aliyokuwa nayo.
"Maisha yana mambo mengi, lakini nafurahi nimetimiza ndoto yangu, kununua gari hili siyo kwamba mimi ni bora, huu ni utaratibu wa maisha tu ni kitu ambacho mtu mwingine yoyote anaweza kufanya, hata hivyo namshukuru Mungu kwa hatua hii" alisema Jua kali

 
JUA KALI AVUTA NDIGA MPYA Reviewed by Unknown on Wednesday, August 15, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.