Top Ad unit 728 × 90

MAANDALIZI YA VIDEO MPYA YA SLIM SAL 'KAMA UNAVYONIONA' FT. MARCO CHALI

SLIM SAL YC
Hatimaye ile ngoma inayotamba kwa sasa "Kama Unavoniona" ya kwake SlimSal akiwa kamshirikisha Marco Chali imeanza kuandaliwa Video ambayo itatoka mda siyo mrefu kuanzia sasa nainategemewa kufanya vizuri katia media mbalimbali hasa kwa upande wa 'vichupa' vitakavotingisha kwa msimu huu ukiachilia mbali audio yake ambayo ishapokelewa kwa mikono yote na mashabiki muziki hapa bongo.

Ni kijana wetu toka Dodoma na anayeiwakilisha 'The Capital City' poa sana toka kundi la N07 linaloundwa na vijana watata wote hasa katika game hili.


Juu ni baadhi ya picha za maandalizi ya Video hiyo ndani ya studio za MJ Records

SlimSal mwenyewe hajaweza kuweka wazi ni production gani inayosimamia mpango mzima lakini ameahidi kwamba itakuwa ni suprize kwa mashabiki wake kwamba wakae poa kuupokea mzigo wa maana na wenye kiwango.
Na huu ndo muonekano wa baadhi ya picha katika Video hiyo
Stay tune pipo kwa Video hiyo
MAANDALIZI YA VIDEO MPYA YA SLIM SAL 'KAMA UNAVYONIONA' FT. MARCO CHALI Reviewed by Unknown on Thursday, August 23, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.