Top Ad unit 728 × 90

ZAIDI YA TANI TATU ZA NUSU ZA BANGI ZACHOMWA MOTO JIJINI ARUSHA


Zaidi ya tani tatu na nusu ya madawa ya kulevya aina ya Bangi yaeteketezwa na jeshi la polisi mkoani Arusha katika kukamilisha operesheni ya kupambana na uhalifu na madawa ya kulevya inayoendelea mkoani Arusha.

Msemaji wa taarifa hii alisema kuwa zoezi hilo ni endelevu na kuwataka wananchi wa mkoani humo kutoa ushirikianoo katika kutokomeza vitendo hivyo vya kihalifu na uvunjaji wa sheria.

Baadhi ya maofisa wa polisi akiwemo msemaji wa jeshi hilo mkoani Arusha Rashid Nchimbi wakiangalia zoezi hilo la uteketezaji wa madawahayo katika eneo la FFU nje kidogo ya Jiji la Arusha.
Habari kwa niaba ya Othman Michuzi Blog.
ZAIDI YA TANI TATU ZA NUSU ZA BANGI ZACHOMWA MOTO JIJINI ARUSHA Reviewed by Unknown on Thursday, August 23, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.