Top Ad unit 728 × 90

N07 TOKA DODOMA HADI USA NA BONGE LA COLLABO

Jukay 'The Tanzanian Dream'
Msanii kutoka Dodoma anayewakilisha kundi la NO7 aaanza kushika kasi na kulisimamisha jina la Dodoma na NO7 kwa ujumla. Anafahamika kama Jukay "The Tanzanian Dream" kama anavyopenda kujiita mwenyewe anatarajia kupiga kolabo na msanii kutoka Marekani ambaye anafanya Hip Hop na wako kwenye process ya kuunda kundi ambalo litakuwa linaunganisha Ma-MCs toka Tz na USA.

Harakati zote hizi zinasimamiwa na meneja wa Jukay aliyeko marekani ambaye ndiye amemuunganisha na hao vijana......japo  bado nyimbo  haijakamilika ila muda si mrefu jukay atablow na pia bado anafanya vizuri sana na kundi lake la NO7 lenye maskani yake Mjini Dodoma na linaundwa na vijana wakali wote katika Hip Hop na Rap akiwepo Slimsal ambaye kwa sasa anatamba na Ngoma yake aliyomshirikisha Marco Chalo 'Kama unavyoniona' iliyoandaliwa pale MJ chini ya Marco Chali mwenyewe pamoja na Za Chaa.

Final Mixing za nyimbo hiyo zitafanyika USA na tayari Jukay mwenyewe kwa sasa yuko chini ya Dreams Entertainment ambao wanamsubiri akimaliza tu shule wamnyakue ili kufanya nae kazi.

Tunamtakia mafanikio mema katika kazi zake!
N07 TOKA DODOMA HADI USA NA BONGE LA COLLABO Reviewed by Unknown on Wednesday, August 22, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.