Shetta apata BABY GIRL!
Mzee wa Mdananda, namzungumzia msanii Shetta the don, amepata mtoto wa kike baada ya mke wake kujifungua salama.
Shetta alishare furaha yake hiyo kupitia mtandao wa BBM na kusema
"Finally mungu ameniletea furaha niliyokua naiwaza usiku na mchana mke
wangu amejifungua salama mtoto wa kike....!thnx god m happy 4 dat" huku
akionesha furaha kubwa. Hongera...
Shetta apata BABY GIRL!
Reviewed by Unknown
on
Thursday, August 30, 2012
Rating:
No comments: