Top Ad unit 728 × 90

Kadinda alamba shavu kwa OBAMA!


Baada ya kuipromote vyema kazi ya makoti yake ya kiume  maarufu kwa jina la 'Single Button' na vikaptura viitwavyo 'Vibunduki', designer anayekuja kwa kasi isiyoyozuilika pande za afrika mashariki amelamba shavu la hatari pande za kwa Obama.
Hapa namzungumzia Martin Kadinda, ambaye tayari kwa hapa Bongo kashawavalisha mastar kibao kuanzia wanamuziki, mapedejee na bila kusahau watoto wa mujiniii.
Kwa taarifa yako tu ni kwamba Martin amekula shavu New York nchini Marekani, katika maonyesho ambayo ni maarufu na makubwa ambayo hufanyika katika miji mikubwa ya Paris, London na Milan kwa ajili ya kuonyesha kazi zake.
Kadinda alamba shavu kwa OBAMA! Reviewed by Unknown on Thursday, August 30, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.