Top Ad unit 728 × 90

Ay atajwa mara 3 'Channel O MVA'

Kituo cha television cha burudani cha Channel O kupitia Twitter, kimetangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za mwaka 2012 za Channel O Music Video Awards.
Katika tuzo hizo AY ametajwa mara tatu na Cpwaa ametajwa kuwania mara 1.
Ay ametajwa kuwania kipengele cha Most Gifted East African Video of the Year, Most Gifted Male Vid of the Year na Most Gifted Vid of the Year.
Cpwaa yeye ametajwa kuwania kipengele cha Most Gifted Dance video of the Year.
Tuzo za 9 za Channel O Music Video, CHOMVA12 zitatolewa November 17 huko Kliptown, Soweto, Johannesburg, Afrika Kusini.
Ay atajwa mara 3 'Channel O MVA' Reviewed by Unknown on Sunday, September 02, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.