Top Ad unit 728 × 90

Baby Madaha atua na 'Nimezima'

Mwanamuziki huyo alisema kwamba kwa sasa yupo kwenye hatua za mwisho 'za majeruhi', kuisuka albamu hiyo itakayobeba nyimbo nane.
Si mwingine bali ni yule Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’, anajipanga kuachia albamu yake ya pili inayokwenda kwa jina la ‘Nimezama’.
Kwani mipini iliyomo kwenye albamu hiyo mpya, iko tayari na ameanza kuzifanyia video ili kuwapa raha mashabiki wake.
Ndani ya albamu hiyo nyimbo ambazo amemaliza kuzifanyia video ni chache, kwani bado anaendelea na kazi ambayo naamini mashabiki wake wataipenda kulingana na ujumbe na ubora wake.
Mbali na hilo mwanamuzki huyo amewataka mashabiki wake, waendelee kumpa sapoti kwenye kazi zake kwani kuna vitu vingi ambavyo amewaandalia, wasicheze mbali na yeye.
Baby Madaha atua na 'Nimezima' Reviewed by Unknown on Monday, September 24, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.