Top Ad unit 728 × 90

Ni GOLDIE wa Naija ft. Amwene Yesaya!

Msanii kutoka Nigeria  aliyewakilisha Nigeria kwenye Jumba la Big Brother Africa  maarufu kwa jina la 'Goldie' wikiendi hii wamekutana studio za MJ na msanii Ambwene Yesaya 'AY' na kufanya collabo ya kutisha.
Akiongea kwa simu  AY alisema ngoma hiyo baada ya kukamilika itarekodiwa video na vyote vitakuwa tayari kurushwa mnamo mwezi November mwaka huu.
Ni GOLDIE wa Naija ft. Amwene Yesaya! Reviewed by Unknown on Monday, September 24, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.