Top Ad unit 728 × 90

‘MH TEMBA’ AWAPA SHAVU ‘BOB MAPESA’ NA ‘NYOTA NDOGO’ NDANI YA NGOMA YAKE YA ‘NAWACHANGANYA’…!!

MSANII wa muziki kizazi kipya bongo Mh. Temba asema kuwa anatarajia kutoa ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Nawachangaya’, huku akiwa amefanya na wasanii Nyota Ndogo na Bob Mapesa kutoka Kenya.

Temba
alipozungumzia juu ya ujio wa albamu yake ya nne aliyoipa jina la ‘Ufisadi, Maradhi na Ujinga’, ndipo alitoa ishu hiyo ambapo anaamini kuwa ujio wa ngoma hiyo ndiyo hatua ya mwisho ya kutoka kwa albamu yake.

Alisema kuwa ameamua kuwapa shavu wasanii hao kutoka Kenya ili albamu yake iweze kufanya vizuri hadi nje, kwani njiia hiyo ni moja ya

kujitengenezea jina la kimataifa sambamba na kuweka ushirikiano na urafiki mzuri kati ya nchi na nchi..

“Nimeamua kuwaweka wasanii hawa kwenye albamu yangu hii ili nipate soko kimataifa, kwani naamini njia hiyo pia ni moja ya kujitangaza kimatifa”
alisema.
‘MH TEMBA’ AWAPA SHAVU ‘BOB MAPESA’ NA ‘NYOTA NDOGO’ NDANI YA NGOMA YAKE YA ‘NAWACHANGANYA’…!! Reviewed by Unknown on Wednesday, September 26, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.