Top Ad unit 728 × 90

MISIFA kwenye Video Production!

Dully Sykes 'Mr Misifa' anafunguka kuwa anampango wa kufungua kampuni yake mwenyewe ya kutengeneza Video baada ya kumiliki audio studio ya Dhahabu records kwa miaka kadhaa sasa.

Dully kupitia website yake ameandika: "Mashabiki wangu nawapa nafasi ya pekee ya kuchagua jina la kampuni yangu mpya ya Video Production inayotarajiwa kuanza kazi hivi karibuni. Tupia jina kwenye comments."

MISIFA kwenye Video Production! Reviewed by Unknown on Saturday, September 29, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.