Top Ad unit 728 × 90

PANCHO kugonga kazi na CAMP MULLA!

Ni moja kati ya ma producer wakali hapa Bongo kwasasa, huyu si mwingine anajulikana kwa jina Pancho Latino kutoka  Label ya B hits ya mtu mzima Hammy B.

Kwa taarifa yenu tu ni kwamba kuna taarifa zilienea kwa kasi jijini kuwa ana mpango wa kufanya kazi na vijana wadogo wanaotingisha Kenya na africa kwa ujumla, hawa sio wengine bali ni Camp Mulla.

Akielezea fununu hizo huyu hapa Pancho Latino...." Yap ni kweli natarajia kufanya nao kazi za muziki kwani kwa sasa ndiyo tupo katika michakato ya mazungumzo kwa hiyo napenda kuwambia wale mashabiki wangu wakae tayari kwa kusikia kile  nitakacho wafanyia Camp mulla"

PANCHO kugonga kazi na CAMP MULLA! Reviewed by Unknown on Saturday, September 29, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.