Top Ad unit 728 × 90

DAYNA anapomwambia 'Nenda Nenda'

Baada ya ngoma yake ‘Nivute kwako’ kufanya vizuri, msanii Dayna anatarajia kuachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ‘Nenda Nenda’,
Kwa mujibu wa Dayna ngoma hiyo inahusu mapenzi, stori yenyewe ni kwamba alikuwa katika mahusiano lakini mpenzi wake huyo mara nyingi alikuwa anakosea na alipomsihi abadilike hakuweza kwenda kule anakokutana ndipo alipoamua kumuacha na kumwambia ‘Nenda Nenda’. kwani anaamini bado hajampata aliyeandikiwa na mungu.DAYNA

DAYNA anapomwambia 'Nenda Nenda' Reviewed by Unknown on Monday, October 01, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.