Top Ad unit 728 × 90

MSANII PEWA ABAGENGE AJA NA NGOMA MPYA 'BANDIA'..


''Baada ya kutamba na wimbo wa NIPENI KURA ZENU na CHEZA KINANDA, msanni Pewa Abagenge kutoka Kenya amerudi na wimbo mpya unaoitwa BANDIA. 'Bandia' kwa kingereza linamaanisha 'fake' Katika wimbo huu Pewa anazungumzia vitu kadhaa katika jamii ambovyo huwa si vya kuaaminika,kama vile mapenzi,wanasiasa na hata marafiki.''

Ni ngoma poa sana inayotarajia kufanya vizuri katika ulimwengu wa muziki.

Artist: PEWA ABAGENGE
Song:  BANDIA
Label: AUDIO KUSINI
Gonga hapa kuipata BANDIA - Pewa Abagenge
MSANII PEWA ABAGENGE AJA NA NGOMA MPYA 'BANDIA'.. Reviewed by Unknown on Wednesday, September 12, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.