Top Ad unit 728 × 90

Peter Msechu ziarani CHICAGO!

Inaonekana mwaka huu umekuwa na neema kubwa kwa wasanii wa Bongo, kwani ni juzi tu Diamond katoka ndani ya jiji la washington nchini marekani na sasa ni zamu ya Peter msechu ndani ya Chicago.
Akifunguka, Msechu alisema ameenda nchini humo kugonga show kadhaa na baada ya hapo atakuwa akifanya shopping kwa ajili ya vifaa vya bendi ambayo ana mpango wa kuanzisha.
Msechu atakuwa nchini Marekani kwa miezi 6.
Peter Msechu ziarani CHICAGO! Reviewed by Unknown on Saturday, September 15, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.