PHOTOS: UFUNGUZI WA MJENGO WA EPIQ BONGO STAR SEARCH…!!
![]() |
| Madam Ritha akikata utepe katika uzinduzi rasmi wa EBSS House jana jioni. |
![]() |
| Madam Ritha, Chief Judge akifungua mlango wa EBSS house rasmi baada ya sherehe ya uzinduzi kuanza. |
![]() |
| Norman Severino akiwa juu ya stage tayari kuwapa burudani wageni waalikwa. |
![]() |
| Top 12 na uongozi wa Zantel kwa pamoja. Kila mshiriki alizawadiwa Samsung Galaxy kutoka Zantel hapo jana katika sherehee hiyo. |
![]() |
| Mshiriki Menynah Atiki akionyesha simu aliyozawadiwa na uongozi wa Zantel. |
![]() |
| Baadhi ya washiriki walioingia Top 12 wakiwa wamepozi ukumbini. |
![]() |
| Madam Ritha akiwatembeza viongozi wa Zantel ndani ya nyumba. |
![]() |
| Madam Ritha akiwaonyesha wageni nyumba (Uongozi wa Zantel). |
![]() |
| Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika sherehe. |
![]() |
| Washiriki walioingia Top 12 kwa pamoja wakiwakaribisha wageni baada ya mlango kufunguliwa. |
![]() |
| Mshiriki Salma Yusuph akipokea simu kutoka kwa Sajid Khan, COO wa Zantel. |
PHOTOS: UFUNGUZI WA MJENGO WA EPIQ BONGO STAR SEARCH…!!
Reviewed by Unknown
on
Friday, September 28, 2012
Rating:
Reviewed by Unknown
on
Friday, September 28, 2012
Rating:












No comments: