Top Ad unit 728 × 90

PIPI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME.

Msanii anayetamba na video yake mpya inayoitwa UNAPOKUWA MBALI hapa namzungumzia PIPI jana usiku alijifungua mtoto wa kiume na kumpa jina la KINGSTONE. alikiambia chanzo cha habari hii kwamba anajisikia mtu mwenye furaha sana kwa sababu kwa sasa anaitwa MAMA. 
Hongera sana Pipi kwa kujifungua mtoto wa kiume..
PIPI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME. Reviewed by Unknown on Saturday, September 15, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.