Top Ad unit 728 × 90

Kutembea na GUN, sio kujilinda

Msanii Hamidu a.k.a Nyandu ametoa maelezo kuhusu silaha inayo onekana kwenye video yake ya 'Hatua zangu' aliyomshirikisha Alice wa THT na dogo mwenzake Young Dee.

Nyandu anasema kwa mtazamo wake yeye kutembea na silaha sio kujilinda ila nikujiweka kwenye matatizo zaidi.

"Sio lazima uwe na silaha kila saa ndio uwe salama kwenye maisha yako....watu wengi tu wanatembea na silaha na bado hawawezi kujilinda...kwasababu mimi naweza nikawa sina gun na mtu asiniambie lolote vilevile"

Hta hivyo Nyandu alitoa ufafanuzi ya kuwa silaha inayoonekana kwenye video yao ni Toy tu na sio silaha ya kweli.
Kutembea na GUN, sio kujilinda Reviewed by Unknown on Friday, October 05, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.