Top Ad unit 728 × 90

“NILIACHANA KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO BAADA YA KUONA MADHARA YAKE” – AUNTY LULU…!!

WAKATI wasanii wengi wa tasnia ya bongo movie wakishindwa kueleza ukweli wa mambo juu ya matumizi ya dawa za kukuza makalio na nyingi nezo wanazotumia, msanii wa filamu Lulu Mathias ‘Aunty Lulu, amekili kuwa alijaribu kutumia dawa za kuongeza makalio lakini baada ya kuona baadhi ya rafiki zake wanapata madhara aliamua kuacha.

Mwandishi wa habari hii ili kupata ukweli wa umbo la mwanadada huyo kama ni natural au la mchina alimsaka hewani na baada ya kumpata, alifunguka na kudai alijaribu kutumia lakini dawa hizo za kukuza makalio lakini baada ya muda baadhi ya rafiki zake ambao walitumia wote walianza kupata madhara kwa kuvimba vimba hovyo kwenye makalio yao, kitu ambacho kilimpa uonga wa kuacha kabisa kutumia dawa hizo ingawa aliweka wazi kuwa makalio yake ni makubwa tangu alipokuwa mdogo.

“Makalio yangu ni makubwa tangu nilipokuwa mdogo hivyo watu wanaposema kuwa nilitumia dawa za kuongeza makalio nawaona wajinga, ingawa  nilijaribu kutumia baada ya kuona madhara yake kwa watu wengine niliamua kuacha kabisa,” alidai.

“NILIACHANA KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO BAADA YA KUONA MADHARA YAKE” – AUNTY LULU…!! Reviewed by Unknown on Friday, October 05, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.