Top Ad unit 728 × 90

LINAH: SIJAWAHI KUFA NA KUFUFUKA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Estelina Sanga ‘Linah’, amekuja juu akijibu madai kwamba, aliwahi kufa na kufufuliwa na Mchungaji  wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa kumfanyia maombi.

Akizungumza na mwandishi Oktoba 2, mwaka huu, Dar es Salaam, Linah alisema hajawahi kukumbwa na tukio hilo zaidi ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kuzimia mara kwa mara na kuponywa kwa njia ya maombi na Gwajima.

“Kwenye maisha yangu sijawahi kufa na kufufuka, kama umesikia hivyo basi hayo yalikuwa ni maneno tu, hapo mwanzo nilikuwa na kitu kama masheteni yalikuwa yakinikaba na kunifanya nipoteze fahamu mpaka nilipoombewa na Gwajima,” alisema…

LINAH: SIJAWAHI KUFA NA KUFUFUKA Reviewed by Unknown on Thursday, October 11, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.