Top Ad unit 728 × 90

M-RAP KUACHIA NGOMA YAKE MPYA AKIWA Bhitz Music Group Tz. "DESTINY"

Baada ya kutoka na Hit songs kama WINNERS akiwapa mashavu Jux, Stamina na Country Boy. Akasukuma hewani Mzigo wa TUNAMAINTAIN akiwa na Makamua.

The Kid from Bhitz Music Group Tz, M-Rap Lion katika Mikono Salama ya Pancho Latino. Wiki hii anaachia Ngoma mpyaaaaa!
DESTINY. Ambayo Ndani yupo Deddy' member wa B'hits.

M-Rap anasema
"DESTINY ni nyimbo inayoeleza Maisha yangu ya Muziki ( from day 1 ) Nilipotoka ni mbali na ninapoenda sasa nahisi ni karibu coz kila kitu nakiona. I see the right, pia watu waliokuwa wananichukia sasa wanaonyesha kunipenda. DESTINY Inajieleza wazi kuwa hutakiwi kukata tamaa, Mungu ndo anajua mwanzo na mwisho. Hakuna mwanadamu anayeweza kuzuia ndoto zako."

DESTINY Ikiwa ngoma ya kwanza kwa M-Rap baada ya ku'sign Dil na Bhitz, mzigo umesimamiwa na Pancho Latino na kufanyiwa mastering na Hermy B.

PANCHO anasema,
"DESTINY ni nyimbo nzuri, naamini waTZ wataelewa sana. Ni Hip Hop ya tofauti sana. Trust Me. WaTanzania wam'support M-Rap."

Stay tune kwa ngoma hiyo mara tu baada ya kutoka utaipata hapa hapa
M-RAP KUACHIA NGOMA YAKE MPYA AKIWA Bhitz Music Group Tz. "DESTINY" Reviewed by Unknown on Tuesday, October 30, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.