Top Ad unit 728 × 90

Nipende Kama Nilivyo, kutoka soon!

Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ‘Loose Control’, msanii Mr Blue anawataka mashabiki wake wasubiri ngoma mpya aliyoipa jina la ‘Nipende Kama Nilivyo’  itakayotoka soon.
Blue anaweka wazi kuwa ngoma hiyo itaanza kutoka audio ikiftwatiwa na video baada ya siku chache.
Kwenye ngoma hiyo Blue amemshirikisha producer Man  Water toka Combination Soud a.k.a kombinega.

Nipende Kama Nilivyo, kutoka soon! Reviewed by Unknown on Friday, October 19, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.