Top Ad unit 728 × 90

TID sasa alamba matapishi yake!

Ikiwa ni takriban miaka miwili sasa baada ya msanii Khaleed Mohamed (TID) kuamua kujitoa kwenye tuzo za kili (Kili Music Awards) tena kwa barua kwa madai kuwa haoni kama zina manufaa yoyote kwake kwani zimepangwa kwa ajili ya watu fulani tu huku yeye akikosa tuzo hizo kila mwaka, msanii huyu anaonekana kana kwamba anataka kula matapishi yake mwenyewe baada ya kusema kuwa anataka kumaliza tofauti zake na waandaaji wa tuzo hizo ili kutimiza ndoto zake.

“I Really want to Finish My Differences with Kili Music Awardz so I can Pursue My Dream of becomin a better Artist for my Country”.  Aliandika TID kwenye ukurasa wake wa facebook.

TID sasa alamba matapishi yake! Reviewed by Unknown on Friday, October 19, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.