Top Ad unit 728 × 90

Nitaendelea kubaki kwenye Imani

Msani huyo alisema kwamba alipewa jina la Ilham mara tu baada ya Kuslim, alisema kwamba kitendo cha yeye kurudi kwenye Ukristo eti kwa kuwa tu aliyemfanya abadili dini kaachana naye kitakuwa ni kama kumchezea Mungu hivyo haoni haja ya yeye kufanya hivyo.
Ni mara baada ya kutemwa na mpenzi wake Abdallah Mtoro ‘Dallas’ Mwanadada Jackline Wolper, alisema kwamba atabaki kuwa katika imani yake ya dini ya Kiislam na abadani hatoiacha dini hiyo.
Mbali na hilo aliweka bayana kubaki kwenye dini hiyo, kwamba hakumzuii kuolewa na mwanaume wa dini yeyote atakayejitokeza na kuonyesha nia ya mapenzi ya kweli kwake.
Nitaendelea kubaki kwenye Imani Reviewed by Unknown on Friday, October 19, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.