Top Ad unit 728 × 90

UTEJA wamlaza Ray C hospitali!

Katika hali ya kushtua mwanadada Rehema Chalamila maarufu kama Ray C, yupo katika kituo maalumu cha msaada wa kuacha matumizi ya dawa za kulevya (Unga) akipatiwa matibabu nchini Kenya.
Kwa mujibu wa The Kenyan Daily Post, mwanamuziki huyo alikubali kupatiwa matibabu na ni miongoni mwa watu kadhaa wanaopata matibabu ya kuachana na ulevi wa dawa hizo.
Anasifika kwa uzuri, sauti nyororo na wepesi wa kuzungusha kiuno jukwaani. Lakini leo hii, mwanadada huyu  anakabiliwa na tatizo na usugu wa matumizi ya dawa za kulevya.
UTEJA wamlaza Ray C hospitali! Reviewed by Unknown on Sunday, October 21, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.