Top Ad unit 728 × 90

UMEINYAKA HII!!!: Lord Eyez kumbe KIBAKA!


Jioni ya jana (Jumamosi) Ommy dimpoz kupitia akaunti yake ya twitter ametweet kwamba amemkamata rapper wa Nako 2 Nako Lord eyes akiiba vifaa vya gari yake ikiwa ni pamoja na Power windows.
Kwa mujibu wa Ommy Dimpoz, Lord Eyez alikuwa akishirikiana na  masela wengine.
Hata hivyo baadae Ommy alitweet tena kuwa mwizi wao (Lord Eyez) alipobanwa kisawasawa alisema vitu alivyoiba vipo chimbo mitaa ya TANDALE.


Dah mjini watu wana fani nyingiii, huku muziki huku kibaka hahahaha.
Halafu kichekesho sasa ni kwamba mikosi imewakuta yeye na demu wake wa zamani Ray C, wakati yeye anashikwa kwa wizi dar, demu wake kalazwa hospitali maalum ya kwa watu walafi wa madawa ya kulevya (Rehab) mjini Nairobi Kenya.

UMEINYAKA HII!!!: Lord Eyez kumbe KIBAKA! Reviewed by Unknown on Sunday, October 21, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.