Top Ad unit 728 × 90

Pete ya Ben Pol soon kuanikwa

Msanii huyo alisema kwamba kwa sasa yupo katika hatua za mwisho, za uandaaji wa kibao hicho ambacho huamini kwamba kitafanya vizuri kwenye sanaa hiyo.
Kama ilivyodesturi yake kwenye kazi zake kwani huwa haziwachukizi mashabiki wake, na anaimani kwamba zitakuwa na ubora wa hali ya juuna ndiyo maana mashabiki wake huzikubali.
Si mwingine bali ni yule mkali wa muziki wa Kizazi Kimya hapa nchini, Benard Paul ‘Ben Pol’, kwa sasa anajipanga kufyatua goma lake jipya lijulikanalo kama ‘Pete’.
Mbali na hilo aliweza kutoa shukrani zake kwa mashabiki wake, kwa kumpokea vizuri katika sanaa hiyo na kumfanya achukue tuzo za nyimbo bora za ‘RNB’ mwaka jana na mwaka huu kupitia nyimbo zake, ‘Nikikupata’ na ‘Number One Fun’.
Licha ya kutamba na vibao hivyo, kwa sasa Ben Pol anang’ara na kibao chake cha ‘Maneno’, ambacho kinafanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio na runinga.

Pete ya Ben Pol soon kuanikwa Reviewed by Unknown on Saturday, October 20, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.