Top Ad unit 728 × 90

BEN PAUL AONGELEA ,COLLABO NA WALTER WA EPIC BSS.

Msanii Ben Paul aliyeimba wimbo uliompa ushindi Walter wa Epic BSS amesema Alishaongea na Walter wakati wa kujitayarisha kwa ajili ya show ya fainali na kusema alimwambia Angependa kufanya kazi na Walter akiwa tayari kufanya kazi muda wowote .

Kwasasa ameshinda so achukue muda wake kujipanga ukizingatia kwa sasa watu wakaribu naye watakuwa wakimshauri sana.Ila fahamu kuwa Ben Paul yupo tayari kufanya wimbo na Walter muda wowote. Pia kuhusu Walter kuchagua `Nikikupata' kama wimbo wake wa mwisho kuimba nikitu kilicho mfurahisha sana Ben Paul na Ben amesema walivyo kuwa Back Stage Walter alimwambia ataimba wimbo huo kwenye show yake so Ben Paul alibidi autoe wimbo huo kwenye orodha ya nyimbo alizo taka kufanya kwenye show yake. 

Kuhusu show aliyo fanya Ben Paul kwenye Epic BSS, Ben amesema tayari washindani walikuwa wamekaa kwenye mafunzo na walikuwa wanajua kufanya show nzuri ila kila msanii anauwezo tofauti na alichotaka kufanya nikuwaonyesha vitu na maujanja zaidi kwenye show ile ili wajifunza na waondoke na mambo tofauti kutoka kwa Ben Paul.
BEN PAUL AONGELEA ,COLLABO NA WALTER WA EPIC BSS. Reviewed by Unknown on Tuesday, November 13, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.