Top Ad unit 728 × 90

Chidi na malengo ya La familia

Nia halisi ya Chid Benz kipindi hicho kuanzisha kundi la 'LA FAMILIA' ambayo ni familia kubwa ya wanamuziki ilikuwa ni kuwasaidia wasanii wanaochipukia weweze kutoka kimuziki, hata hivyo Chid anasema lengo hilo halijafanikiwa kwa sababu ambazo amejaribu kuzielezea hapa chini. 

"La Familia ni familia ya wanamuziki iliyokuwa ikipatikana maskani Ilala nia yangu ilikuwa ni kwamba tuweze uliteka soko la muziki hasa ikifika kipindi wote tukawa wakali basi katika show tuweze kuliteka jukwaa na kukamua vilivyo. Hata hivo kutokana na maisha binafsi ya kila mtu kuwaza kwamba labda wengine wananyonywa ama kudhulumiwa na wengine kupata ushauri mbaya kutoka kwa marafiki wengi wakawa wanakimbia huku na kule. Lakini ia yangu kubwa nikuwainua na sio kuwadhulumu kama walivodhani wengi na ukizingatia kweli kipindi kile nilikuwanina hela za maana yaani nyingi so niliamua kutumia hela zangu kwa ajili ya kuwasaidia chipukizi nao waweze kufikia malengo yao."

Alisema Chid Benz
Chidi na malengo ya La familia Reviewed by Unknown on Tuesday, November 13, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.