Top Ad unit 728 × 90

LINEX: Nina mpango wa kujihusisha na FILAMU!


Baada ya kufanya vyema na ngoma zake kali kama Aifora,Boda Boda, na nyinginezo, msanii Sunday Mjeda a.k.a Linex Linenga ameweka wazi malengo yake kwasasa ni kujiingiza kwenye ulimwengu wa filamu za kibongo 'bongo movies'.

KIVIPI Ni kwamba mchizi anasema ukiachilia mbali muziki, pia ana kipaji kikubwa cha uandishi wa story na hivyo ameona ni bora akatumia kipaji hicho kama muandishi wa filamu.
LINEX: Nina mpango wa kujihusisha na FILAMU! Reviewed by Unknown on Tuesday, November 20, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.