Top Ad unit 728 × 90

MB Dogg kurudi na AMENIMISS!

Baada ya kimya kirefu nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mb Doggy anajipanga kuachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Amenimiss’.

Akizungumzia hilo na Darhotwire jana kwa njia ya simu, Dogg alisema yupo katika hatua za mwisho za uaandaaji wa ngoma hiyo ambayo itakuwa na ujumbe mzito kwa jamii pamoja na wapenzi wa kazi zake.
“Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu nimeamua kuja na ngoma hiyo ambayo naamini itakuwa moto wa kuotea mbali kwa mashabiki wangu kutokana na ubora wa kazi yenyewe,” amesema Mb Doggy.
Dogg amewaomba mashabiki wake wakae kukaa tayari kuipokea ngoma hiyo.

Mb Doggy alishawahi kutamba na ngoma zake  kama, Si Uliniambia, Inamaana na nyinginezo ambazo zilimtambulisha na kufanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa bongo fleva.
MB Dogg kurudi na AMENIMISS! Reviewed by Unknown on Thursday, November 15, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.