Top Ad unit 728 × 90

MWANAYUMBA sasa kutengenezewa Filamu!

Taarifa iliyotufikia ni kwamba, ile ngoma 'Mwanayumba' ya msanii Chegge toka kundi la Wanaume Family ipo kwenye mkakati wa kutengenezewa filamu.

Kwa mujibu wa chanzo chetu kilicho karibu na kundi hilo, uamuzi wa kufanya movie hiyo ulikuja baada ya majadiliano ya muda ndani ya kundi hilo na kufikia maamuzi hayo.

Kwahiyo mashabiki wa kundi hilo muda si mrefu sana mtaanza kuziona sura za kundi hilo ndani ya Bongo movie.
MWANAYUMBA sasa kutengenezewa Filamu! Reviewed by Unknown on Thursday, November 15, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.