Top Ad unit 728 × 90

WASANII WAGOMBEA NYIMBO MOJA YENYE COLABO NA DIAMOND

Msanii anayefahamika kama Silley amejikuta akitambulisha wimbo ambao ulishatambulishwa siku za nyuma kupitia Impact Fm iliyopo Dodoma na kudai wimbo huo ni wake wakati huo huo kwamba aliyefanya kazi hiyo ya kutambulisha wimbo huo ndiye yule yule aliyeutambulisha siku za nyumba kidogo ikiwa ni msanii tofauti na huyu wa mara ya pili, msanii aliyetangulia kuitambulisha nyimbo yake ni Chancy au 'Sauti ya Jogoo' ambapo aliipa jina la Bidhaa na Silley nae kuja na kuitambulisha kwa jina tofauti la 'Msope' 

Presenter wa Show (Deno 'The Tash D') ambaye ndiye aliyestukia inshu hiyo ameahidi kuwakutanisha vijana hao ili kujua ukweli wa nyimbo hizo mbili ambazo hazina tofauti yoyote labda ni katika majina tu na mabadiliko ya Verses katika kila nyimbo. Download au sikiliza nyimbo hizi hapa Chini:
 
WASANII WAGOMBEA NYIMBO MOJA YENYE COLABO NA DIAMOND Reviewed by Unknown on Monday, November 26, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.