Top Ad unit 728 × 90

2030 Ya Roma Kuachiwa Siku Ya 12/12/2012

Ikiwa imebaki siku moja tu kabla ya mkali wa Hip pop nchini Tanzania ambaye anatokea Tanga ila kwa sasa maskani yake ni jijini Dar es salaam anayefahamika kwa jina la Roma Mkatoliki, ameamua kuweka wazi furaha aliyonayo na kuahidi kukata kiu ya mashabiki wake kwa kuachia ngoma kali kuliko zote alizowai kuziachia mfano kama Mathematiks na nyinginezo nyingi sasa rapper huyo yuko amesema kuwa yuko tayari kuachia ngma yake mya kabisa iitwayo ''2030'' ambayo ataichia siku ya kesho ambayo ndo itakuwa ni siku yake ya kuzaliwa. Roma ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook hapo jana..
2030 Ya Roma Kuachiwa Siku Ya 12/12/2012 Reviewed by Unknown on Tuesday, December 11, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.