Top Ad unit 728 × 90

Goldie Afunguka Na Kusema Hakuna Kinachoendelea Katika Yake Yeye Na Prezzo

Aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa mwanadada kutokea Nchini Nigeria maarufu kama Goldie Harvey amekanusha na kusema kuwa hana mahusiano yoyoyte ya kimapenzi na Msanii maarufu kutokea Nchini Kenya rapper Prezzo ambae nae pia alikuwa ni mshiriki wa kwenye shindano hilo la Big Brother Africa 2012. Goldie ambae nae pia wiki chache zilizopita ametoka kutoa ngoma yake mpya akiwa amemshirikisha Ay kutoka hapa nyumbani Tanzania inayoitwa Skibobo, Star huyo ameweza kufunguka zaidi wakati alipokuwa akihojiwa na Televisheni moja maarufu ambayo ipo Nigeria. 

msikilize Goldie akielezea zaidi juu ya story hiyo....

Goldie Afunguka Na Kusema Hakuna Kinachoendelea Katika Yake Yeye Na Prezzo Reviewed by Unknown on Tuesday, December 11, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.