Top Ad unit 728 × 90

ALICIA KEYS AKANUSHA TUHUMA ZA UVUNJAJI WA NDOA ZA WATU

Alicia Keys aliamua kuongea na JET Magazine baada ya rumors kibao kusambaa kuwa yeye ni “Mvunjaji Nyumba za Watu aka HOME WRECKER” baada ya Ex-Wife, MASHONDA kusambaza story kuwa ALICIA KEYS ndio sababu ya ndoa yake Kuvunjika. Katika toleo jipya la JET the cover girl Alicia Keys amezungumzia kuwa amezisikia sana taarifa hizo ila aliamua kukaa kimya "…They were apart for some time before we ever got together…that doesn't matter to those who take pleasure in trying to knock others down…there's no need to fight what's not true…," alisema Alicia Keys

Pamoja na hayo inaonekana Mashonda alisha Move On kutokana na accusations baina yake na na mototo wa Swiss Beatz mwenye umri wa miaka 6 ambapo muimbaji huyo aliandika barua ya wazi ikisema......
"As a mother, Kasseem’s happiness is the single most important thing in my life. It took some time, but I now realize that even my former husband and his new wife are my partners in this wonderful journey." – Alicia Keys
katika majibu ya interview hiyo ambayo Alicia keys aliifanya na
JET Magazine muda si mrefu  Mashonda tweeted, "You can't create truth, it's already made……." Pamoja na shughuli zote hizi na maneno yote hayo anayoendelea kusema sidhani kama Mashonda anaweza kubadilisha jinsi Alicia Keys anavyojisikia kwa Husband Swiss Beatz. Katika mazungumzo hayo Alicia Keys alizungumza kwanini yeye na Swiss wameona kwa miaka miwili na wana motto mwenye umri wa miaka miwili.

"I'd never met a person where I could be fully myself…Swizz and I live in each other's shadow. So we can occupy the same space and there is nothing but equality. There's something really powerful about that." – Alicia Keys

Chanzo:  GongaMX News Team
ALICIA KEYS AKANUSHA TUHUMA ZA UVUNJAJI WA NDOA ZA WATU Reviewed by Unknown on Sunday, December 02, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.