Top Ad unit 728 × 90

HII NDO INSHU MPYA TOKA KWA CHRIS BROWN NA NGOMA W.T.F.I.M.L (Where The F**k Is My Lighter

Mr Chris Brown aka Breezy anaweza akawa hayupo kwenye twitter tena ila bado anamimina madongo kama alivyosema yeye ataongea kupitia muziki wake ambapo Mr Breezy amedondosha KIOO kingine mtaani ‘Where The F*ck Is My Lighter’ ambapo anasema mzigo huu utakuwepo kwenye “Up Coming Album” yake inayotayajiwa kushuka kwaka ujao yani 2013.

Kama alivyosema katika track yake iliyopita "Don't Judge Me…. I won’t Judge U, Coz it Can Get Ugly…. Before get Beautiful" …..kwa sasa hawezi kukaa na kugombana na kwenye TWITTER na MTOTO MDOGO Comedy Writer Jenny Johnson, Yupo busy akiendelea kushusha video kama hii anasema ‘Where The F*ck Is My Lighter’ inawezekana kabisa Breezy akawa sio mvutaji ila ndio keshasema sasa anatafuta LIGHTER yake.  

Chris Brown akiwa na issues kibao zinazoendelea kuhusiana na mwanadada RIHANNA na mapenzi yao, katika track hii ‘W.T.F.I.M.L’ ambayo ameachia video mpya akiwa kwenye tour yake ya Europe ijulikanayo kama "Carpe Diem"…. Katika ngoma hii W.T.F.I.M.L mwanakaka Breezy ameanza kwa maneno flani kama anamuimbia mwanadada Rihanna vileee…..

 "Hold up, hold up/ what you saying babe/ heard your love is only a mile away," – Breezy

Download Ngoma yake hapa: Chris Brown - W.T.F.I.M.L.
HII NDO INSHU MPYA TOKA KWA CHRIS BROWN NA NGOMA W.T.F.I.M.L (Where The F**k Is My Lighter Reviewed by Unknown on Sunday, December 02, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.