Top Ad unit 728 × 90

Bi Kidude Atunukiwa Nishani Na Rais Jakaya Kikwete

Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Muheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana alimtuku Nishani mwanamuziki mkongwe anaefanya muziki aina ya Taarabu maarufu kama Bi Kidude. Raisi Kikwete alimtunuku Bi Kidude nishani hiyo kama mwimbaji mkongwe ambae ameweza kuutangaza muziki aina ya taarabu katrika mataifa mbalimbali na pia Bi Kidudue ni mmoja kati ya watu ambao walikuwepo Tangu Tanzania inapanta Uhuru wake ambapo mpaka sasa imefikisha miaka 51 ya Uhuru ambayo iliadhimiswa hapo jana.
Bi Kidude Atunukiwa Nishani Na Rais Jakaya Kikwete Reviewed by Unknown on Tuesday, December 11, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.