Top Ad unit 728 × 90

Cannibal Na CMB Prezzo Kuachia My City, My Town Video kesho 12.12.12

Baada ya kusubiria kwa muda mrefu, ile video katika ya Cannibal na Rapper Kutoka Makini Music, CMB Prezzo sasa kutoka wiki hii.... Hii ikiwa ni tamko la Prezzo himself, video inatarajiwa kutoka mapema jumatano 12/12/2012. Hii ni video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sana na fans.... "MA CITY MA TOWN" Cannibal & Prezzo.... Predictively it will be tight... lets sit tight and wait!!
Cannibal Na CMB Prezzo Kuachia My City, My Town Video kesho 12.12.12 Reviewed by Unknown on Tuesday, December 11, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.