Top Ad unit 728 × 90

HIVI NDIVYO WEUSI WANAVYOFUNGA MWAKA

Hii ni ile ya mwisho kabisa kwa mwaka huu, WEEEUUUSSIIII!!! G-Nako a.k.a G WaraWara, Nikki Wa II, Joh Makini a.k.a Mwamba Wa Kaskazini, Lord Eyes a.k.a King Easy na Bonta. Hii inafunga mwaka huu kwa sababu kuu Tatu, Yeah!! 3... 
1. Uzinduzi wa Ngoma Jipya la Lord Eyes, yep ni ile ambayo inasuburiwa kwa hamu na fans. 
2. Uzinduzi wa DVD ya BUM KUBAM kutoka kwa Nikki Wa II ikiwa ni pamoja na aina ya uuzaji mpya utakaoonekana pale. 
3. Show Kali ya WEUSI, ambapo ni Top 20 za WEUSI. 

Well, ni jumapili ya tarehe 23 ndani ya New Maisha Club, Historia Nyingine hii hapa na Mwaka Unafungwa kinamna hii.
HIVI NDIVYO WEUSI WANAVYOFUNGA MWAKA Reviewed by Unknown on Monday, December 17, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.