Top Ad unit 728 × 90

New: Xtatic - Hit 'Em Up ft. AKA, Priddy Ugly (Official Video)

Xtatic, is that hot femcee kutoka Kenya... hivi karibuni ameachia single yake ingine inayojulikana kama Hit 'Em Up akiwa amefanya na msanii mwingine wa hip-hop AKA pamoja na Priddy Ugly. Xtatic ambae pia yuko chini ya label ya Sony Music Entertainment (Africa) ameachia track hiyo mpya ambayo imetoka straight na kwenye video imekuwa ni ya pili baada ya WILD. Ngoma imetengenezwa na producer Fahreinheitz ikiwa ni moja kati ya zile zitakazokuwemo ndani ya album ya Xtatic inayofahamika kama 'Full-Length'... The video, ni kali kwa kweli, ikiwa directed na Mustard Post ambae pia alifanya "Wild"
New: Xtatic - Hit 'Em Up ft. AKA, Priddy Ugly (Official Video) Reviewed by Unknown on Monday, December 17, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.